Category: Faida ya sindano ya vitamin k

Post a Comment. Habari yako msomaji wetu, karibu kwenye Post hii ya Afya. Pia tunapenda kukujulisha kuwa tuna App nyingine za Afya ambazo unaweza kuzipata kwenye link zifuatazo. Darasa la Afya. Afya na lishe. Dondoo za Afya. Vitamin ni muhimu katika kuhakikisha kuwa mwili unatumia virutubisho vingine kufanya kazi zake. Ukosefu wa vitamin vyovyote kati ya hivi unaweza ukapelekea matatizo makubwa kwa afya ya mtu.

Vitamin A,D,E na K, vinaitwa fat soluble vitamin. Hivi nhuweza kuhifadhiwa ndani ya mwili. Hivyo hatuhitaji kula vyakula kuvipata kwa kila siku. Kwa upande mwengingine vitamin B na C huitwa water soluble vitamin, hivi havihifadhiwi ndani ya mwili, hivyo tunahitaji kula vyakula vyenye vitamin hivi kwa kila siku. Vitamin A hupatikana kwenye maziwa, maini, karoti,machungwa, na mboga za rangi nya njano.

Ukosefu wa vitamin hivi unapelekea mtu kushindwa kuona wakati wa usiku. Mwili unakuwa ni rahisi kupata mashambulio pindi mtu akiwa na vitamin A kwa uchache. Bofya hapa. Husaidia katika kuhakikisha michakato ya kikemikali ndani ya seli inafanyika vizuri metabolism.

Top 10 Matunda rahisi kupatikana na yenye faida kubwa sana kwa Afya yako.

Pia husaidia katika kuunganisha taarifa za misuli. Ukosefu wa vitamin hivi unapelekea ugonjwa wa beriberi ambopo mtu anakosa hamu ya kula. Misuli kukaza pia ni dalili ya upungufu wa vitamin hivi.

Wakati mwingine moyo kushindwa kufanya kazi ni kutokana na upungufu wa vitamin hivi. Husaidia katika ufanyikaji wa michakato ya kikemia ndani ya seli metabolism.

faida ya sindano ya vitamin k

Kupasuka kwa midomo ni dalili ya ukosefu wa vitamin hivi. Vitamin B3 hupatikana kwenye samaki, karanga,nyama, mchele usio kobolewa na hamira. Pellagra ni ugonjwa unaotokana na upungufu wa vitamin hivi. Mgonjwa anakosa hamu ya kula, misuli kukosa nguvu na kuharibika kwa ngozi. Vitamin B6 hivi hupatikana kwenye nyama, mbogamboga,hamira,nafaka. Husaidia katika mchakato wa protin protein metabolism.

Ugonjwa wa anaemia, nerve irritability na vidonda kweye midomo husababishwa na upungufu wa vitamin hivi. Vitamin B12 hivi hupatikana kwenye samaki,nyama, mayai,maziwa na maini. Husaidia katika utengezaji wa damu, na utengezaji wa genetic meterials. Ugonjwa wa anaemia, upungufu wa uzito na nerve damage hutokana na upungufu wa vitamin hivi. Vitamin C hivi hupatikana kwenye matunda yenye uchachu kama limao na machungwa. Mboga za kijani,na nyanya. Husaidia mwili kufyonza madini ya chuma. Kukosa nguvu za misuli,na maumivu ya viungio joints kutokwa na damu kwenye mafinzi kuchelewa kupona kwa vidonda na kuumwa mara kwa mara ni dalili ya upungufu wa vitamin hivi.

Vitamin D hupatikana kwenye mayai, maziwa, samaki na maini. Husaidia katika kukuwa na kuimarisha meno na mifupa.Post a comment. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano.

faida ya sindano ya vitamin k

Vitamins are an important part of our daily nutrition. But when it comes to vitamin K, most of us are rather unaware of its importance and the role played by it in our health.

Before moving on to the foods that contain vitamin K, let us first analyze this vitamin and the health benefits offered by it.

What Is Vitamin K? - Vitamins

Thus, vitamin K is needed for protein modification and blood clotting. Vitamin K is available in two naturally occurring forms, vitamin K1 and vitamin K2. We all are aware of the importance of calcium for bone health. Vitamin K is also important in this regard as it helps prevent osteoporosis by assisting the formation of blood clots and calcium retention. This quality can be attributed to its ability to produce osteocalcin, which helps the bones to hold onto calcium.

Vitamin K is often given before surgery to form the clots needed to control bleeding. Women having heavy menstrual flow should consume vitamin K rich diet for relief. Small doses of this vitamin can also help in curing nausea associated with the first trimester of pregnancy. Apart from osteoporosis, adequate intake of vitamin K also protects against cancer and heart disease. Vitamin K supplements form a part of the antibiotic therapy for those who have trouble in absorbing fat.

Your daily requirement of vitamin K depends upon your age. The table given below shows the recommended daily intake of vitamin K for people of different age groups. Deficiency of vitamin K can increase the risk of uncontrolled bleeding. Vitamin K deficiency is rare in adults and very common in newborn infants. Pediatricians usually advise vitamin K injections for infants.

You can get adequate amounts of vitamin K from your diet. In fact the best way to get the recommended amount of vitamin K is to increase the consumption of vitamin K rich foods.

Given below are good sources of vitamin K and can form a part of your diet. Herbs are renowned for their medicinal properties as they are packed with nutrients including vitamin K.

Faida 7 za kula tango

Dark green leafy veggies are exceptionally rich in vitamin K as well as calcium. Other leafy greens include collards, broccoli, cress, turnip greens, spinach, beet greens, Swiss chard, radicchio, mustard greens and lettuce each providing You can have these delicious and crispy leafy greens in a salad or a recipe of steamed vegetables to boost your vitamin K levels.

This delicious veggie is packed with nutrition and vitamin K is no exception.Tango ni tunda mojawapo lenye maji mengi kama vile tikiti maji, linabeba virutubisho vingi vitamin K, B, C, Potasium, na manganese.

Tango lina polyphenols ambayo inasaidia kuepusha mtu kupata maradhi sugu, hivyo ni vizuri mtu kutumia matango mara kwa mara kwa kunywa juice yake, kuchanganya kwenye kachumbali bila kumenya maganda yake kwani yanabeba virutubisho vizuri au unaweza kuweka kwenye mkate na kuchanganya na maji ya kunywa kuyapa ladha na Vitamins. Inashauriwa kutumia kipande cha tango kuweka mdomoni kwa dakika 5 kwa angalau mara 3 kwa siku inasaidia kutoa bakteria wanaofanya mdomo kutoa harufu mbaya. Kiasi kidogo cha sukari kilichopo kwenye tango na kiasi kikubwa cha maji, tango ni tunda sahihi kusaidia upunguze uzito kamba kamba zake huusaidia mwili kuondoa sumu katika mfumo wa chakula na kusaidia mmengenyo wa chakula.

Tango bi chanzo cha silica ambayo inafahamika kusaidia afya ya viungo kwa kuimarisha viunganishi vya viungo, pia tango lina Vitamin A, B1, B6, C na D, Folate, Calcium, Magnesium na Potasium ambapo linapochanganywa na juice ya karoti huweza kutibu magonjwa ya Gout na yabisi kwa kupunguza kiwango cha tindikali. Kama vile kansa ya matiti, kansa ya mifuko ya mayai kwa mwanamke, kansa ya kizazi kwa wanawake, na kansa ya tezi dume kwa wanaume hii ni kutokana na virutubisho vinavyopatikana katika tango kama vile, Iariciresinol, pinoresinol na secoisalariciresinol.

Tango pia huondoa hangover kwa watumiaji wa pombe kwani ina vitamin B ambazo husaidia kuounguza ukali wa maumivu ya kichwa pale unapoamka asubuhi ila inatakiwa kula kabla ya kulala ili umake ukiwa vizuri.

Faida 7 za kula tango 1 year ago Comments Off on Faida 7 za kula tango. Zipo faida nyingi mwilini za kutumia tunda la tango, ikiwa ni pamoja na. Kutoa harufu mbaya mdomoni Inashauriwa kutumia kipande cha tango kuweka mdomoni kwa dakika 5 kwa angalau mara 3 kwa siku inasaidia kutoa bakteria wanaofanya mdomo kutoa harufu mbaya. Faida 6 za kula mayai wakati wa kifungua kinywa 2. Zijue faida za parachichi katika kulinda afya yako 3.

Husaidia afya ya viungo, huondoa ugonjwa wa baridi yabisi. Je unafahamu faida za pilipili hoho mwilini, hizi hapa 7 5. Tango husaidia kupunguza aina mbalimbali za kansa. Nawapongeza sana lakini nawapa pole- JPM. Miss Tanga yaja na kishindo cha Chuchu Hans. Like this: Like Loading You might also like. Editor Picks. Sven Vandenbroeck aahidi mazito Jumamosi Michezo 4 weeks ago.We like to share product recommendations with you and hope you like them!

Just to make you aware Water Filter Data may collect a small share of sales or other compensation from the links on this page. There are many reasons you might want to filter your drinking water. But how do you tell which ones really work, and which are all marketing nonsense? Many of the most-reputable water filter manufacturers will get their products NSF Certified.

What are the different NSF Standards? These selections were made based on a combination of our own testing and research, NSF Certifications, manufacturer specs and third party NSF water filter reviews. Only the best water filters for our readers!

See Deal. The Aquasana OptimH2O system is a reverse-osmosis filter setup that installs under your kitchen sink. It comes with everything you need, including a holding tank, reverse osmosis filter setup, and even a stylish faucet!

It even has a remineralizer; a type of filter that adds healthy minerals back into the filtered water. Overall, this is the best NSF Certified water filter. The affordable replacement filters on the FMA are designed to last for gallons of filtered water. So, both the upfront cost and the ongoing costs are quite affordable for this unit.

Learn more here. It includes an additional sixth stage Alkaline Remineralization water filter, that restores minerals and produces a balanced alkalinity, which gives the water a more natural, fresh, and clear taste than regular 5-stage RO certified water. With easy, do it yourself installation that fits under a standard kitchen sink iSpring RCC7AK is the best NSF water filter that comes with all parts included, and organized step by step instructions and videos.

We present to you one of the cheapest and easy-to-mount water filters — Brita Chrome On Tap Faucet Water Filtration System that filters out impurities for healthier, better-tasting water in a shiny chrome finish. Interested to know what kind of contaminants this water filter removes?

faida ya sindano ya vitamin k

One Brita water filter can provide up to gallons of filtered tap water or as we say certified water and includes a built-in filter indicator to signal the need for replacement after approximately gallons or 4 months. This certified NSF water filter is perfect for families and kitchens where meals are cooked and freshwater is needed.

The CuZn water filter is a 3 stage filtration system with a micro sediment membrane. The KDF is a way to keep your water safe from harmful chemicals and metals found in your pipes, like lead, mercury, chromium, and other dissolved metals plus it also controls the build-up of bacteria.

This NSF certified water filter has a lifespan of months depends of your daily use and the quality of your tap water, so if your municipal water is full with contaminants, heavy metals and other pollutants the filter will try to work his job and try to keep your water clean and that will decrease the lifespan of your water filter.

Once you will start using the Epic pure water filter pitcher, within a couple of days you will notice a huge difference in the freshness within yourself and the level of energy that your body has. So to wrap it up this water pitcher is like BRITA but on a higher and more hardcore level because it is used by preppers and survivalists and plus the BRITA filter supports 40 gallons of water while this water filter can filtrate through like gallons of certified water.

At home, on the job or on the road as ZeroWater users are saying, this 5 stage filter purifies water in a unique way. They have maybe the best portable water filter that is reliable and easy to use. The 5-stage Zero Water filter is able to get more out of your water and this is possible due to the combination of uniquely structured filters and the special ion exchange resin.Kabeji ni miongoni mwa mboga za majani zenye uwezo mkubwa sana kukufanya uwe mwenye afya njema.

Ili uweze kujipatia viini vyote vya mboga hii ninashauri ule kama kachumbali na kama ukiamua kupika kidogo hakikisha unapika inakuwa karibia na mbichi hii itasaidia kutoangamiza viini lishe ndani ya mboga hii yenye faida kubwa. Mwili wa binadamu unapokuwa unazalisha nishati ya mwili hutengeneza sumu ambazo ni mabaki ya hewa ya oxygen zinapoungana zinaitwa Free radicals. Na endapo hizi Free radicals zikiachwa katika mwili wako huanza kuangamiza seli na huweza kuzibali seli hata kuwa kansa.

Na mwili huwa unaviondoa sumu vyake makini lakini pale panapotokea pamekuwa na uzalishaji wa free radicals nyingi sana mwili unalemewa unahitaji msaada. Na hapo ndipo mwili wako unatakiwa kuupa msaada kupitia ulaji wa vyakula vyenye viondoa sumu kama kabeji. Kabeji ina viini vitatu vyenye nguvu kubwa kuwezesha kuondoa free radicals zote zinazopatikana kupitia Oxidation stress na hizi zinajulikana kama thiocyanates, lutein, zeaxanthin, isothiocyanates, na sulforaphane. Viini hivi vina uwezo mkubwa sana wa kufanya mboga aina ya kabeji kuwa ya kipekee katika aina zote za mboga.

Mbali na kufanya kazi hizo pia zina uwezo mkubwa wa kuondoa cholesterol mbaya mwilini mwako na kuufanya mfumo wa damu usukume damu kwa ufanisi mzuri. Ina kiwango kingi sana cha vitamin K. Ni Zaidi ya asilimia 85 ya mahitaji ya kila siku ya vitamin K hutolewa na kabeji endapo tu ukiifanya kuwa mboga yake na upikaji wake ukazingatia maelezo yangu hapo juu.

Vitamin K ina msaada mkubwa sana kuhakikisha presha yako ya damu inakuwa katika kiwango cha kawaida muda wote. Na ndio msaada mkubwa wa neva za fahamu kufanya kazi vizuri katika usafirishaji wa taarifa. Hivyo ina uwezo mkubwa wa kukupa madini haya na kuupa mwili wako uwezo mkubwa Zaidi wa kuondoa Free radicals Sumu mwilini mwako na pia husaidia kwa kiwango kikubwa kuwezesha seli nyeupe za damu kupambana na maambukizi kupitia kuongeza kinga ya mwili.

Vitamin B6 Ina uwezo mkubwa wa kurekebisha utendaji kazi wa neva za fahamu zako hasa za ubongo na kuufanya ubongo wako utulie na ina msaada mkubwa sana kwa watu wenye msongo wa mawazo na hasira za mara kwa mara. Magnesium ndio msingi wa shughuli zote zinazo endelea mwilini mwako, kwani ndio madini yanayo fanya shughuli zote zifanyike katika kiwango stahiki na endapo ikipungua shughuli zote za mwili zinafanyika katika kiwango cha chini sana maana inaongoza Zaidi ya viendesha shughuli za mwili Enzymes Kisha weka mafuta yako olive oil au Alizeti kwenye kikaangio kisha tumbukiza mboga zako,kipande cha pilipili hoho.

Acha dakika chache kisha ipua na changanya na supu yako na nyama au shushia na supu yako bila kuchanganya.

faida ya sindano ya vitamin k

Unaweza kuweka parachichi lako moja ambalo utachanganya kwenye mboga yako. Osha mboga zako vizuri kama nilivyo eleza hapo juu, kisha tumbukiza kwenye kikamua juisi mboga zako aina moja baada ya nyingine. Blenda yako inatakiwa iwe na uwezo wa kutenganisha juisi yenye kiwango kingi cha viini lishe na kuweka pembeni mabaki mengine.

Baada ya hapo iweke juisi yako kwenye mtungi mrefu wa blenda yako kisha changanya vizuri kupata juisi aina moja. Kunywa juisi yako glasi moja unaweza kumpatia na ndugu yako glasi moja. View all posts by mashaproducts. Like Like.

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Skip to content. Ina kiwango kingi sana cha vitamin K Ni Zaidi ya asilimia 85 ya mahitaji ya kila siku ya vitamin K hutolewa na kabeji endapo tu ukiifanya kuwa mboga yake na upikaji wake ukazingatia maelezo yangu hapo juu.

Supu ya nyama iliyo changanywa na kabeji 2. Juisi ya kabeji Jinsi ya Kuandaa: 1. Acha dakika chache kisha ipua na changanya na supu yako na nyama au shushia na supu yako bila kuchanganya Unaweza kuweka parachichi lako moja ambalo utachanganya kwenye mboga yako.

Share this: Twitter Facebook. Like this: Like LoadingShukran maana nimejifunza. Ingawa hapo mtoto mwenye kubagua chakula ndio tatizo hasa nini kifanyike ili awe anapenda vyakulavyote? Vipi kuhusu lishe yenye mchanganyiko na dagaa mtoto wa mwaka mmoja na miaka miwili inaruhusiwa?

Kelele,kumchelewesha mtoto kulala na kukosa ratiba ya mtoto kulala pia huchangia mtoto kukosa usingizi wakutosha. Watoto wa mwaka mmoja adi mine wanaitaji masaa 14 ya usingizi kila siku. Asilimia kubwa sana ya watoto hawapati mboga na matunda yakutosha katika lishe zao.

Watoto wanapofikia umri wa kuanza kwenda madarasa ya awali ndio ule wakati ambao mtoto hurefuka na mwili wake huwa na nguvu nyingi,huu ndio wakati ambao wanaanza kujifunza kujitegemea na kutengeneza wasifu binafsi personalities. Mtoto huanza kubagua chakula,na kuamua anapenda au apendi chakula kipi. Watoto wanaobagua chakula huwa kwenye hatari kubwa ya kukosa virutubisho maalum vinavyoitajika kuwezesha ukuaji wao,kwani virutubisho hivyo huchangia ukuaji bora wa akili,mwili,na hata hisia.

Virutubisho vyote sita lazima viwepo: wanga,protini, mafuta ,vitamin, madini mwili na maji. Vitamini C Mwili wa binadm hauwezi kujitengenezea vitamin C,hivyo ni lazima ipatikane katika lishe. Vitamini C hupatikana kwenye machungwa,mboga za majani zenye rangi ya kijani mkoozo na Apples. Vitamin D Vitamini D huwezesha mwili kunyonya calcium,bila calcium mifupa haiwezi kukua katika uwiano sahihi wala kuwa na nguvu hivyo mtoto anaweza kupata matege na kua na mifupa dhaifu.

Vitamini D nyingi hutoka kwenye mwanga wa jua,si lazima liwe jua kali. Madini joto hupatikana kwenye nyama,samaki,mbegu za maboga,brown bread,maharage na mboga za majani zenye rangi ya kijani mkoozo. Folate asili yake familia ya vitamin B Huusika sana katika utengenezaji wa seli mpya,hutengeneza DNA,ni ya muhim sana katika ukuaji wa vichanga na watoto wadogo.

Folate inapatikana katika mboga za majani zenye rangi ya kijani mkoozo,maharage,karanga ,korosho,hata ivyo spinachi ndio chanzo kikubwa kabisa cha folate. Calcium Madini ya calcium ni kwa ajili ya utengenezaji wa mifupa na meno na pia inaendesha mfumo wa mapigo ya moyo na inasaidia damu kuganda kwa haraka. Bila vitamin D,mwili hauwezi nyonya calcium. Matunda,mboga za majani,unga usiokobolewa na karanga ni vyanzo vizuri vya Fiber. Maji Mtoto anatakiwa kunywa maji mengi,ili kuzuia constipation na kuepuka kuishiwa maji mwilini,apate kati ya glasi 6 adi 8 kwa siku.

Kwa ujumla matunda na mboga za majani na matunda ni vyakula muhim sana kwa afya na ukuaji bora wa mtoto. Fanya matunda na mboga za majani sehem kubwa ya mlo wake. Inashangaza pale unapomkuta mama bado anamsagia mtoto wa miaka mitatu chakula kama ndizi na viazi. Ni hayo tu kwa leo,chukua atua mpe mtoto wako lishe bora. Maoni 10 :. Beanito 21 Februari Unknown 15 Aprili Unknown 24 Mei Unknown 19 Juni Unknown 23 Julai Unknown 23 Agosti Unknown 29 Agosti Unknown 22 Oktoba Unknown 23 Oktoba Unknown 28 Juni Pakia zaidiBila afya hakuna furaha,amani wa shughuli yoyote ile ya maendeleo.

Afya ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siku hizi si ajabu sana kusikia au hata kushuhudia watu wengi wakisumbuliwa na matatizo mengi sana ya kiafya, suala hili linachangiwa na mambo mengi hali ya mazingira au tabia za watu. Upuziaji wa matumizi ya matunda na mboga mboga unachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya mengi ya kiafya.

Matunda ni moja ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu binadamu tuliopewa japo tunaidharau licha ya faida yake katika maisha yetu. Kuna sababu kadhaa za kwa nini watu hawatumii matunda mara kwa marabaadhi ya hizo ni Kutokujua faida ya matunda kiafyana Ukosefu wa uwezo wa kumudu gharama za kula matunda mara kwa mara.

Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wanaoshindwa kutumia matunda kwa moja ya sababu hizi basi taarifa hii inakuhusu na uyajue matunda yenye gharama nafuu sana wakati huo huo yakiwa na faida tele kiafya kwa mwili wako. Haya ni matunda matamu sana ,rahisi sana kupatikana na yenye faida nyingi mno kwa afya yako. Yapo mengi na faida nyingi sana za machungwa …Machungwa sio gharama ,ni rahisi kupatikana yatumie mara kwa mara uone faida yake kwa afya yako.

Nanasi ni tunda maarufu na linalopatikana karibu maeneo yote kwa urahisi. Tunda hili lina virutubisho vya kusaidia ubora wa afya yako. Baadhi ya faida ya nanasi ni. Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana hasa sehemu za baridi. Watu wanaoishi maeneo haya wana ushahidi juu ya hili. Huuzwa nchi nzima kwa bei ndogo na ya kawaida kabisa huku likiwa na faida kubwa sana kiafya. Baadhi ya virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye tunda hili ni. Husaidia macho kuona vizuri zaidi, zaidi husaidia nywere na ngozi yako, Na faida nyingine nyingi sana.

Hauna budi kutumia parachichi mara kwa mara. Papai ni moja ya tunda zuri,tamu likiwa vilevile linapatikana kwa urahisi na gharama nafuu. Papai ndio tunda lenye utajiri wa madini mengi sana ukilinganisha na matunda mengine pamoja na virutubisho vingine vingi. Baadhi ya faida za tunda hili ni kama vile. Faida za papai ni nyingi sana ,Husaidia kurainisha na kurinda ngozi,husaidia macho kuona vizuri,huasidia mfumo wa usagwaji wa chakula mwilini n.

Tunda hili ni maarufu na rahisi sana upatikanaji wake huku likiwa na bei ya kawaida sana. Licha ya hilo bado watu wanapuuza kutumia tunda hili kiafya, Ila wewe unatakiwa ujue faida za tunda hili mfano.

JIFUNZE KITU KUHUSU MBOGA YA KABEJI

Ni baadhi ya faida chache na muhimu sana kwa ajiri ya mwili wako …. Jenga mazoea ya kula maembe kwenye milo yako na ufurahie afya bora.

Ndizi ina virutubisho vingi venyefaida nyingi sana kwa afya yako ikiwemo. Tikiti maji naamini ni tunda linalofahamika na watu wengi sana ,Tunda hili licha ya watu wengi kutokujua lakini lina faida nyingi mno kiasi cha kushauriwa kutumika mara kwa mara na wadau mbalimbali wa masuala ya afya.


thoughts on “Faida ya sindano ya vitamin k

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *